英文字典中文字典


英文字典中文字典51ZiDian.com



中文字典辞典   英文字典 a   b   c   d   e   f   g   h   i   j   k   l   m   n   o   p   q   r   s   t   u   v   w   x   y   z       







请输入英文单字,中文词皆可:


请选择你想看的字典辞典:
单词字典翻译
922486查看 922486 在百度字典中的解释百度英翻中〔查看〕
922486查看 922486 在Google字典中的解释Google英翻中〔查看〕
922486查看 922486 在Yahoo字典中的解释Yahoo英翻中〔查看〕





安装中文字典英文字典查询工具!


中文字典英文字典工具:
选择颜色:
输入中英文单字

































































英文字典中文字典相关资料:


  • Mauaji ya Mchina yatikisa ajira za wafanyakazi 200
    Dar es Salaam Wafanyakazi zaidi ya 200 wa kiwanda cha XIL LI kilichopo Mabibo Sokoni, jijini Dar es Salaam wameingia katika sintofahamu kufuatia kusimama kwa shughuli zote za uzalishaji baada ya kuuawa kwa mmiliki wa kiwanda hicho, Bhaozang Ge (50), raia wa China
  • Raia wa China Auwawa Mabibo, Dar es Salaam, Polisi . . .
    Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linaendelea na uchunguzi wa tukio la mauaji ya mmiliki wa kiwanda cha kuchakata chuma cha XIL LI, raia wa China aliyefahamika kwa jina la Bhaozang Ge (50), aliyefariki kufuatia shambulio lililotokea Mei 16, 2026 Kwa mujibu wa taarifa ya polisi iliyotolewa Mei 19, 2026, tukio hilo lilitokea majira ya saa 8:00 usiku katika eneo la Mabibo, Ubungo
  • MWANZO, MWISHO SIMULIZI MAUAJI YA MCHINA DAR
    MHASIBU wa Kiwanda cha Kuchakata Chupa za Plastiki cha XIL LI kilichopo Mabibo wilayani Ubungo, Dar es Salaam, Eversophy Michael, amesimulia kwa kina tukio la mauaji ya mmiliki wa kiwanda hicho, Bhaozang Ge (50), ambaye ni raia wa China
  • HUZUNI YATAWALA DARES SALAAM: MWILI WA MWEKEZAJI MCHINA WA MABIBO . . .
    Marehemu aliuawa kinyama Mei 16, 2026, kwenye kiwanda chake cha Xin Li kilichopo Mabibo Sokoni, tukio ambalo limeacha majonzi makubwa kwa ndugu, marafiki na mamia ya wafanyakazi wake wa
  • MCHINA ADAIWA KUUAWA NA MORANI WA KIMASAI . . .
    R ia wa China, Baozhang Ge, ambaye ni Mkurugenzi wa kiwanda cha Xin Li Company Ltd kinachojihusisha na urejeshaji wa makopo kilichopo Mabibo jijini Dar es Salaam, ameuawa katika mazingira ya kutatanisha
  • Raia wa China auawa na Walinzi wa Kampuni yake na . . . - JamiiForums
    Mtu mmoja raia wa China aliyefahamika kwa jina la Baozhang Ge, Mkurugenzi wa kiwanda cha Xin Li Company Ltd kinachojihusisha na Urejeshaji wa Makopo, kilichopo Mabibo jijini Dar es Salaam amekutwa ameuawa na watu wanaodhaniwa kuwa ni walinzi wa Kampuni hiyo Morani wa Kimasai, kisha kutomekea
  • Mchina Auawa Mabibo, Mauaji Yafichuka Tanzania | TikTok
    Kifo cha mchina huyu kimeibua mjadala mkubwa nchini, huku wananchi wengi wakishangazwa na uhalifu unaoendelea dhidi ya raia wa kigeni Maeneo kama Mabibo sokoni yamekuwa yakitajwa sana kuhusiana na mauaji haya, huku watu wengi wakitaka kujua zaidi kuhusu mchina aliyeuliwa na aliyefariki dunia
  • Mwili wa mwekezaji Mchina kuchomwa moto Makumbusho
    Mwili wa mfanyabiashara wa asili ya China, Bhaozang Ge unatarajiwa kuchomwa moto kesho Mei 24, 2026 katika eneo maalumu la Makumbusho jijini Dar es Salaam, na majivu yake kusafirishwa kwenda China kwa taratibu nyingine za mazishi kwa mujibu wa mila za familia yake
  • MCHINA ALIYEUAWA MABIBO ALIAJIRI WATU 200 . . .
    MCHINA ALIYEUAWA MABIBO ALIAJIRI WATU 200+ MHASIBU AFICHUA ALIVYOKUWA MTU POA - "TAMAA tu za WATU"
  • MCHINA ALIYEUAWA MABIBO ALIAJIRI WATU 200 . . .
    MCHINA ALIYEUAWA MABIBO ALIAJIRI WATU 200+ MHASIBU AFICHUA ALIVYOKUWA MTU POA - "TAMAA tu za WATU" #followersreelsfyp #viralreels #viral2





中文字典-英文字典  2005-2009