英文字典中文字典


英文字典中文字典51ZiDian.com



中文字典辞典   英文字典 a   b   c   d   e   f   g   h   i   j   k   l   m   n   o   p   q   r   s   t   u   v   w   x   y   z       







请输入英文单字,中文词皆可:


请选择你想看的字典辞典:
单词字典翻译
situatus查看 situatus 在百度字典中的解释百度英翻中〔查看〕
situatus查看 situatus 在Google字典中的解释Google英翻中〔查看〕
situatus查看 situatus 在Yahoo字典中的解释Yahoo英翻中〔查看〕





安装中文字典英文字典查询工具!


中文字典英文字典工具:
选择颜色:
输入中英文单字

































































英文字典中文字典相关资料:


  • Elimu ya Ulinganisho wa Uwekezaji Kwenye Vipande vya UTT-AMIS na . . .
    UTT-AMIS ni salama zaidi kwao kwa sababu inatoa gawio la mara kwa mara na haihitaji usimamizi wa moja kwa moja Majengo ya Kupangisha yanaweza kuwa changamoto ikiwa hayana usimamizi mzuri au yanahitaji matengenezo makubwa (2) Mtaji wa Fedha Kiasi cha fedha kilichopo ni kipimo muhimu katika kuamua aina ya uwekezaji
  • Jinsi ya kupata mkopo kupitia dhamana ya UTT - JamiiForums
    Kwa mtu ambaye ameweka hela zake UTT mifuko ya Liquid na bond, ni kwa namna gani ataweza kupata mkopo, na UTT ikasimama kama dhamana ya huyo mtu kupata mkopo, Kwa upande wangu kuna fedha nimezihifadhi kwa muda huko UTT kwenye mfuko wa Liquid na bond, sasa nataka nisizitoe ila zitumike kama dhamana ya mimi kupata mkopo kupitia Bank za Nmb,crdb au NBC, naomba mwenye uzoefu na hili anipe mwanga
  • Msaada kuhusu UTT , Treasury Bonds Bills na Fixed deposit accounts
    Unapata asilimia moja Kila mwezi kwa utt ya hela uliyowapa Kwa iyo hela Kila mwezi unapata 1M kwa mwaka unayo 12M, fixed deposit utaambulia ndogo mno benki zinatoa riba tofauti tofauti, Ila mara nyingi watakupa kuanzia 5-9% wao wanakopesha kwa 17%
  • Je! kati ya UTT Amis na CRDB, wapi kuna nafuu nikitaka kuwekeza?
    Kati ya UTT AMIS (Unit Trust of Tanzania) na CRDB Bank (kupitia hisa au mifuko ya uwekezaji), chaguo lako litategemea malengo yako ya uwekezaji, kiwango cha hatari unachoweza kuvumilia, na faida unayotegemea Hapa kuna mlinganisho mfupi: 1 UTT AMIS (Unit Trust of Tanzania – Asset Management and Investor Services) Faida:
  • Nikitaka kujiunga UTT Amis ni lazima niende ofisini kwao?
    9 Viambatanisho muhimu unapofungua akaunti ya uwekezaji UTT AMIS Uwe na baadhi ya hivi vitambulisho: Kadi ya kupigia kura, leseni ya udereva, NIDA, Hati ya kusafiria + passport picha ( blue background) 10 Vipande vya UTT AMIS vinaweza kutumika kama dhamana katika taasisi za kifedha Haya ni vyema ukafahamu kama ulikuwa hujajua
  • Fixed Deposits Account, UTT-Amis ni njia nzuri za kutunza pesa LAKINI . . .
    Naomba na mm niweke neno kdg km nitaeleweka:-1# Fixed account and UTT amis ni vitu viwili tofauti na utofauti wake upo hapa fixed account haikuwi kithamani lkn UTT inakuwa kithaman kwa kupitia vipande maana bei za vipande zinaongezeka mfano ukinunua vipande vya 100M baada ya miaka mi3 hutauza kwa m100 itakuwa zaidi lakni bank fixed deposit km umeweka M100 utakuta hiyo hiyo 100M
  • Msaada: UTT AMIS monthly calculator - JamiiForums
    Habarini wakuu, tafadhali aliyeelewa hapa anifafanulie kwenye huo ukokotoaji ulivyofanyika hapo sababu mimi nikipiga hesabu zangu kwa uwekezaji wa Tsh 500,000 kwa mwezi, manake kwa mwaka ni 6,000,000 kwa riba ya 12% ilitakiwa kuwa jumla 6,720,000 cha ajabu pale kwenye jedwali kuna 6,341,251
  • Zalisha faida kwa uwekezaji mdogo katika UTT na Hati fungani
    Fungua akaunti kwenye UTT wekeza kwenye mfuko wa UTT,ambapo kima cha chini ni 100,000 ili uweze kuwekeza; Kila mwezi peleka 50,000 kwa mda wa miezi 20 (mwaka na miezi nane) Jumla utakuwa umwekeza 1,100,000; UTT utazalisha faida ndogo ya 120,000 kutoka UTT; jumla utakuwa na 1,220,000; toa 1,120,0000 halafu kwenye UTT ubakishe 100,000
  • Ufahamu mfuko wa uwekezaji UTT - JamiiForums
    UTT AMIS, hapo awali ilijulikana kama Dhamana ya uwekezaji Tanzania (UTT) ambayo ilianzishwa chini ya Sheria ya Udhamini (Sheria ya Dhamana Na 318) na kupewa majukumu kadhaa muhimu ikiwa ni pamoja na kuanzisha na kuendesha mifuko ya uwekezaji wa pamoja katika njia ambayo itaongeza thamani ya mifuko hiyo, kuhamasisha utamaduni wa kuweka akiba kupitia ushiriki mpana katika umiliki wa vipande
  • Mrejesho wa kujiunga UTT Amis na Changamoto za UTT AMIS mobile App
    Hapo awali sikuwa na utaratibu wa kuzingatia pesa ndogo ndogo kama naweza kuzisave bank but toka nimejiunga n UTT AMIS kila pesa nayokutana nayo hata iwe ndogo nakumbuka kutunza kiasi kwa huu mfuko wa UTT AMIS Ushauri wangu ni kwamba naona ni rahisi kukuza mtaji kwa kusave hela ndogo ndogo mara nyingi kwenye huu mfuko





中文字典-英文字典  2005-2009